“Nimewaletea
watu kitu ambacho ni tofauti ambacho kitawafanya wacheze na mind zao ziwe fresh
kwa kusikiliza.”
Wimbo huo
umetayarishwa na Dr.Reggy, mpishi ambaye amewahi kufanya miradi mingi na Chin
Bees siku za nyuma. “Dr.Reggy ni producer wangu wa kwanza kabisa, nimeanza
kufanya naye kazi kitambo kabla hata sijawa na jina kubwa,” anafafanua.
Video ya
wimbo huo imefanyika katika mitaa mbalimbali ya Dar es Salaam huku rangi za
nguo walizovaa wote wanaoonekana, zikitengeneza picha ya kuvutia machoni na
yenye Uafrika mwingi.
Kuhusiana na
video hiyo Chin amesema, “Imefanyika hapa hapa Wanene na tuliamua kuifanyia nje
zaidi tofauti na video yangu iliyopita ya Pepeta ambayo yote ilifanyika ndani.
Tumefanya kwenye yale mazingira ya mtaani kabisa.”
“Theme ya
video ilikuwa ni kuonesha rangi za mtaani na mavazi pamoja na mazingira halisi
ya Kitanzania na yenye muonekano wa kizamani,” anasema Director H aliyeiongoza
video hiyo.
Nguo hizo
zimebuniwa na mbunifu wa mavazi, Samuel Sebedayo (SAMZ) huku Rehema Samo
akihusika kwenye styling.
Nyonga
Nyonga ni wimbo unaotarajiwa kuwa katika albamu ya kwanza ya Chin Bees iliyopangwa
kuachiwa baadaye mwaka huu.
|
Saturday, May 20, 2017
Chin Bees - NYONGA NYONGA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Tags
# WASANII
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
WASANII
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment