Upe Kura yako Mlima Mt Kilimanjaro Ushinde Tuzo za World Travel Awards 2017 kama Kivutio Bora Afrika. - Mwana Wa Makonda

HEADLINES

Post Top Ad

Friday, April 21, 2017

Upe Kura yako Mlima Mt Kilimanjaro Ushinde Tuzo za World Travel Awards 2017 kama Kivutio Bora Afrika.


VOTE for Mt Kilimanjaro #Tanzania as Africa's Leading Tourist Attraction in World Travel Awards 2017.

DID YOU KNOW? Mt Kilimanjaro is the 2016 Africa's Leading Tourist Attraction.

HOW TO VOTE? Click link below, register&vote

Pigia kura Mt Kilimanjaro katika Tuzo za World Travel Awards 2017 kama Kivutio Bora Afrika.

JE WAJUA? Mlima Kilimanjaro ndio kivutio bora Afrika mwaka 2016.

Jinsi ya kupiga kura: bonyeza link hapa chini, jisajili (register), fungua link hapo chini kisha nenda kwenye majina (Africa nominees) kisha piga kura kwa kubonyeza kiduara pembeni mwa jina

Post Top Ad