Taswira Picha Diamond Anunua Hammer Sauzi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 13, 2017

Taswira Picha Diamond Anunua Hammer Sauzi.


Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’,  akiwa juu ya ndinga yake mpya aina ya Hammer.


Akiwa na watoto wake nje ya nyumba yake huko Afrika Kusini (Sauzi).


STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameonyesha gari lake jipya aina ya Hammer alilolinunua kwa ajili ya shughuli zake akiwa nchini Afrika Kusini.

Diamond na familia yake (mama watoto wake na watoto wawili) wanaishi nchini Afrika Kusini.
Kupitia Instagram yake amepost picha za gari hilo na kuziwekea caption inayosema: 

@zarithebosslady kidogo changu mimi nawe, kikubwa cha Barabuu… Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka Roho juu…. so proud to have you mama, tukutane kwenye kuliwakilisha Taifa kwenye Mashuka leo  @zarithebosslady 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad