Taswira Picha Basi la Leo Logistics lapata Ajali na Kujeruhi Kondakta likitoka NEWALA kenda Dar Es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, April 01, 2017

Taswira Picha Basi la Leo Logistics lapata Ajali na Kujeruhi Kondakta likitoka NEWALA kenda Dar Es Salaam.

Pichani ni Ajali ya basi la Leo Logistics lenye namba za usajili T 471 DDW  lililokuwa likitoka NEWALA kenda Dar Es Salaam likiwa limeharibika baada ya Leo April 1, 2017 majira ya saa 6 mchana kupata ajali katika Eneo la Mbanja Manispaa ya Lindi.
Katika ajali hiyo hakuna vifo,ispokuwa Kondakta ndiye amejeruhiwa huku Abiria 28 waliokuwemo ndani ya basi hilo wameendelea na safari.


Inaelezwa kuwa kufunga mkanda wakati wa safari kumewasaidia abiria hao 28 wasijeruhike sana huku Chanzo cha ajali kikitajwa ni kukatika kwa Henga kwa mujibu wa maelezo ya Dereva wa basi hilo.
Picha Na: Gasper N Kisenga


Post Bottom Ad