Taswira Picha 21 za Risasi zilizotelekezwa Daraja la Mto Ruvubu Eneo la Mukajagari –Ngara/Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 19, 2017

Taswira Picha 21 za Risasi zilizotelekezwa Daraja la Mto Ruvubu Eneo la Mukajagari –Ngara/Kagera.

Juu na chini piachani  ni Wananchi wa kijiji cha Kasharazi wilaya ya Ngara mkoani Kagera wakichunguza Risasi 193 zilizookotwa   jana April 19, 2017 baada ya kutelekezwa  na watu wasiojulikana kando ya daraja la mto Ruvubu barabara kuu ya Ngara hadi eneo la K9 katika kijiji hicho.

Habari/Picha na -Shaaban Nasib Ndyamukama-Ngara.Askari polisi wa   wilaya ya  Ngara mkoa wa Kagera  PC Samweli Shayo (kushoto)na  PC Slivanus (kulia) wakichunguza Risasi 193 zilizookotwa na wananchi wa kijiji cha Kasharazi wilayani humo jana April 19, 2017 baada ya kutelekezwa  na watu wasiojulikana kando ya daraja la mto Ruvubu barabara kuu ya Ngara hadi K9.

Habari/Picha na -Shaaban Nasib Ndyamukama-Ngara.


Askari polisi wa wilaya ya Ngara makao makuu ya polisi ya wuilaya mkoani Kagera wakishuhudia  Risasi 193 za silaha mbalimbali zinazotumika kuuwa wanyama kwenye hifadhi baada ya kuokotwa kandokando ya mto Ruvubu katika daraja kuu la Kasharazi kutoka mjini Ngara kuelekea Benaco wilayani Ngara leo saa 10 alasiri.

Habari/Picha na -Shaaban Nasib Ndyamukama-Ngara.

Askari polisi wa   wilaya ya  Ngara mkoa wa Kagera  PC Samweli Shayo (kushoto)na  PC Slivanus (kulia) wakichunguza Risasi 193 zilizookotwa na wananchi wa kijiji cha Kasharazi wilayani humo jana April 19, 2017 baada ya kutelekezwa  na watu wasiojulikana kando ya daraja la mto Ruvubu barabara kuu ya Ngara hadi K9.

Habari/Picha na -Shaaban Nasib Ndyamukama-Ngara.


Post Bottom Ad