Picha 5: Ndio gari jipya la Mbwana Samatta. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 16, 2017

Picha 5: Ndio gari jipya la Mbwana Samatta.

Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji hapo Jana April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz.

 Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC Genk nchini humo amepost picha gari hiyo bila maelezo mengi.

 Inawezekana ikawa ni gari lake jipya ameamua kuliweka hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee picha 5 alizozipost Samatta akiwa na Mercedes Benz.

Post Bottom Ad