Akiongea na waandishi
wa habari mchana huu Polisi Central jijini Dar es salaam, Kamanda Sirro alisema
tukio la utekwaji wa Roma na wenzake ni aina ya matukio ambayo hutokea mara kwa
mara.
“Matukio ya
utekaji hayajaanza leo, hili la kina Roma na wenzake ni tukio kama matukio
mengine yaliyokuwa ya ujambazi kwahiyo tupeni muda tupeleleze, tukifika mahali
pazuri tutawaita tuwape taarifa lakini nimeona mitandao mingi inazungumza, jana
nikaona wasanii wamekutana lakini nikajiuliza hivi yangekuwa haya matukio
yanatokea ya uhalifu yanapotokea watu wanakutana ingekuwaje?,” alisema Sirro.
Aliongeza,
“Jamani kazi hii tumepewa kwa mujibu wa Katiba na ni lazima tutimize wajibu
wetu kwa hiyo tupeni muda tutakuwa na majibu mazuri katika hili,” aliongeza.
|
Saturday, April 08, 2017
Msanii Roma na wenzake wapatikana wakiwa Salama.
Tags
# WASANII
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
WASANII
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment