La Liga 2016/2017:Real Madrid 1-1 Atletico Madrid. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 08, 2017

La Liga 2016/2017:Real Madrid 1-1 Atletico Madrid.

Mchezaji Antoine Griezmann akiteleza kuiwahi pasi ya Angel Correa kumtungua kipa Keylor Navas wa Real Madrid, goli ambalo aliisawazishia Atletico Madrid dakika ya 85 katika matokeo ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu leo April 8, 2017.

 Real Madrid walitangulia kwa bao la Pepe dakika ya 52 ya Mchezo huo na uifanya Real Madrid kufikisha pointi 72 kwa Michezo 30 huku Atletico Madrid wakiwa nafasi ya tatu kwa Pointi  62 kwa michezo 31.


Post Bottom Ad