Klabu ya Simba SC wamalizana na TRA Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Thursday, April 06, 2017

Klabu ya Simba SC wamalizana na TRA Tanzania.

Klabu ya Simba SC imesha malizana na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) baada ya kulipa zaidi ya Sh milioni 80, kodi ya nyasi bandia zilizo kuwa bandarini.

Baada ya hapo, kinachofanyika ni kumalizia masuala kadhaa yakiwepo ya kuzitoa nyasi hizo bandarini.

Uongozi wa klabu ya Simba umetoa taarifa hiyo kupitia mtandao wao wa wakijamii wa instagram


...' Taarifa Rasmi kuhusiana na Nyasi Bandia, Mpaka sasa Tumeshalipia Kodi yote ya Nyasi Bandia, Kinachoendelea sasa ivi ni Wakala wetu kumalizia taratibu za Kutoa Container zenye nyasi hizo bandarini kwenda kuwekwa rasmi katika uwanja wetu wa Bunju.

Post Bottom Ad