Baada ya ujumbe Gwajima, Diamond arudi upya kuomba Radhi. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, April 08, 2017

Baada ya ujumbe Gwajima, Diamond arudi upya kuomba Radhi.

Diamond ameingia choo cha kike kwa askofu Joseph Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Marry You’ amejikuta matatani baada ya kuachia wimbo mpya ‘Acha Nikae Kimya’ ambao umepokelewa vibaya na mashabiki wengi wa muziki.

Kesho Ibada itakuwa LIVE on YOUTUBE kuanzia saa nne na nusu, kutoka Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Kibo Dar es Salaam. Link itakuwepo kwenye Bio yangu. Usikose.,” aliandika Gwajima Instagram akiambatanisha na picha (hapo juu.
Katika wimbo huyo ametajwa askofu Gwajima kitu ambacho kimemchukiza mchungaji huyo maarufu katika mitandao ya kijamii.

Baada ya ujumbe huo wa Gwajima, Diamond amerudi upya kuomba radhi kuhusu kumhusisha mchungaji huyo kwenye wimbo wake.

Post Bottom Ad