‘Wanasema Diamond na Alikiba hawakai pamoja, nasema kwangu watakaa’ - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 29, 2017

‘Wanasema Diamond na Alikiba hawakai pamoja, nasema kwangu watakaa’

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Dr. Harrison Mwakyembe amewataka Watanzania wote kuungana kwa pamoja ili kukuza Sanaa ya Burudani na Michezo ikiwemo kuichangia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys.

Waziri Mwakyembe ameshukuru kamati ya maandalizi iliyoundwa kwa ajili ya kusuport timu hiyo kwenda kushiriki michuano ya Gabon na Dunia wakiwemo wasanii Diamond Platnumz na Alikiba.

Hapa Chini Bofya Kumsikiliza Waziri Mwakyembe wakati akiongea.

Post Bottom Ad