pesaaa

DSTV

Header Banner

Tazama Taswira ya Treni inayopita kwenye Makazi ya Watu kuchukua abiria China.

Mji wa Chongqing uliopo kusini-Mashariki mwa Nchi ya China imeusogeza karibu na wakazi wake usafiri wa treni kwa reli kupita kwenye baadhi ya nyumba za kuishi watu huku kukiwa kuna vituo ambavyo wakazi wa eneo hilo husubiri usafiri huo.
Mji huo pia unafahamika kama ‘Mountain City’ una wakazi wapatao 49 million, hivyo kuwafanya wasanifu majengo na maafisa wa mipango miji kubuni njia hiyo kurahisisha usafiri.
 
kwenye mji wa Chongqing China ambao ukitaka kusafiri huhitaji kuufuta usafiri bali usafiri unakufuata mpaka eneo la nyumbani kwako.