Taswira Picha:Chama cha walimu CWT wilayani Ngara Chawapatia Walimu wastaafu 23 mabati 460 yenye thamani ya Sh 7.82 milioni. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 22, 2017

Taswira Picha:Chama cha walimu CWT wilayani Ngara Chawapatia Walimu wastaafu 23 mabati 460 yenye thamani ya Sh 7.82 milioni.

Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,Luteni Kanali Michael Mntenjele Kushoto pichani Juu na Chini akiwa na Mwalimu Mstaafy kulia katika Eneo la Ofisi Kuu za Chama cha walimu CWT wilayani Ngara baada ya Chama hicho kuwapatia wastaafu hao 23 mabati 460 yenye thamani ya Sh 7.82 milioni .

 

Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,Luteni Kanali Michael Mntenjele akiwa katika Picha ya pamoja na walimu wastaafu wakiwemo viongozi mbalimbali wa chama cha walimu CWT wilayani Ngara baada ya chama hicho kuwapatia wastaafu hao 23 mabati 460 yenye thamani ya Sh 7.82 milioni .


Post Bottom Ad