Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu
wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa wakiwatakia heri ya Masista katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya
Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
|
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akijiandaa Kumpaka majivu
kichwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya
ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
|
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada ya
Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro
lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
|
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli katika Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
|
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika Ibada hiyo ya Jumatano
ya majivu.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa mara baada ya Ibada hiyo
ya jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment