Taswira Picha Basi la Ally’s Star-Mwanza –Usinge(Tabora) Lapata Ajali eneo la Mabuki. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Sunday, March 12, 2017

Taswira Picha Basi la Ally’s Star-Mwanza –Usinge(Tabora) Lapata Ajali eneo la Mabuki.

Ajali ya Basi lenye Namba za Usajili T 514 ANV  mali ya kampuni ya Ally’s Star linalofanya safari kati ya Mwanza na Usinge mkoani (Tabora) likipata ajali eneo la Mabuki ,Mwanza .

Hakuna vifo vilivyoripotiwa huku  abiria wachache wakipata  majeraha madogo madogo na uharibifu wa gari kama linavyoonekana piachani.Post Bottom Ad