Soma Taarifa ya Ikulu:Nape Aondolewa Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 23, 2017

Soma Taarifa ya Ikulu:Nape Aondolewa Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri leo Machi 23, 2017. 

 Katika mabadilikom hayo, Rais Magufuli amemuondoa kwenye Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ambaye nafasi yake imejazwa na Dkt. Harrison Mwakyembe.


Nape Moses Nnauye.

 Hapa Chini Soma Taarifa ya Ikulu.

Post Bottom Ad