Sikiliza:Ufafanuzi kuhusu Tundu Lissu kukamatwa nyumbani kwake Dodoma Leo March 16,2017. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 16, 2017

Sikiliza:Ufafanuzi kuhusu Tundu Lissu kukamatwa nyumbani kwake Dodoma Leo March 16,2017.

Jeshi la Polisi kanda maalum Dodoma linamshikilia Mwanasheria mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida mashariki ,Mhe.Tundu Lissu baada ya kumkamata asubuhi ya leo March 16, 2017 na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana.

Ayo TV na millardayo.com imempata kwenye Exclusive Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Tumaini Makene kwa ajili ya ufafanuzi wa taarifa hizo na tayari nimekusogezea kwenye hii sauti hapa chini..

Post Bottom Ad