Header Banner

Picha ya Ajali ya Leo March 5, 2017 eneo la Kitonga na Kujeruhi Watu 6..

Taarifa za awali toka kwa Kamanda wa kikosi cha usalama mkoa wa Iringa - RTO IRINGA ajali hiyo imesababisha Majeruhi 6 ambao wamelazwa Iringa Referral Hospital, kati yao Wanawake 2 na Mwanaume 1 ambaye anapata matibabu Itunda ilula.