Msimamo wa Makundi na Mechi za Ulaya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018-Russia. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Sunday, March 26, 2017

Msimamo wa Makundi na Mechi za Ulaya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018-Russia.

MSIMAMO: KOMBE LA DUNIA 2018 – MAKUNDI ULAYA.
Msimamo wa Makundi ya Mechi za Bara la Ulaya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia zimeendelea Jana March 26,2017 kwa Belgium kunusurika kipigo huku Cristiano Ronaldo akipiga mabao 2 wakati Ureno ikishinda na Uholanzi kuchapwa 2-0.

Jumamosi Machi 25,2017.

Cyprus 0 – 0 Estonia  [Kundi H]     

Bosnia And Herzegovina 5 – 0 Gibraltar  [Kundi H]       

Sweden 4 – 0 Belarus  [Kundi A]    

Andorra 0 – 0 Faroe Islands  [Kundi B]     

Switzerland 1 - 0 Latvia   [Kundi B]

Luxembourg 1 – 3 France  [Kundi A]

Bulgaria 2 – 0 Netherlands  [Kundi A]      

Belgium 1 – 1 Greece  [Kundi H]    

Portugal 3 – 0 Hungary  [Kundi B]

++++++++

JE WAJUA?

-Ulaya itakuwa na Nafasi 13 kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia

-Washindi wa Makundi 9 watatinga moja kwa moja Fainali za Kombe la Dunia

-Washindi wa Pili 8 Bora toka Makundi hayo 9 watacheza Mechi za Mchujo kupata Washindi Wanne kwenda Fainali za Kombe la Dunia

++++++++

Ratiba.

**Saa za Bongo

Jumapili Machi 26,2017.

19:00 San Marino v Czech Republic [Kundi C] 

19:00 Armenia v Kazakstan [Kundi E]  

19:00 England v Lithuania [Kundi F]

19:00 Azerbaijan v Germany [Kundi C] 

21:45 Malta v Slovakia [Kundi F]

21:45 Romania v Denmark [Kundi E]

21:45 Scotland v Slovenia [Kundi F]     

21:45 Northern Ireland v Norway [Kundi C]   

21:45 Montenegro v Poland [Kundi E]

Post Bottom Ad