Matukio Picha:Rais Dkt.Magufuli alivyohutubia Wananchi wa Lindi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 03, 2017

Matukio Picha:Rais Dkt.Magufuli alivyohutubia Wananchi wa Lindi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Lindi waliofika katika uwanja wa Ilulu kumsikiliza mara baada ya kumaliza kuwahutubia uwanjani hapo. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi. 

Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi(Wakwanza kushoto), Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa pamoja na Mbunge mteule Mama Salma Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kuhusu masula mbalimbali ya mkoa huo pamoja na Taifa kwa ujumla.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Lindi waliofika katika uwanja wa Ilulu kumsikiliza mara baada ya kumaliza kuwahutubia uwanjani hapo. PICHA NA IKULU.Post Bottom Ad