Lady Jaydee Azindua Album yake Mpya na ya Saba, Woman. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 31, 2017

Lady Jaydee Azindua Album yake Mpya na ya Saba, Woman.

Lady Jaydee leo March 31, 2017, atafanya uzinduzi wa album yake mpya na ya saba, Woman.

Ametangaza kubadilisha ukumbi wa awali na sasa utafanyika King Solomon Hall.

Naomba kuwafahamisha mabadiliko ya Venue Ijumaa Woman Album Launch Itafanyika ukumbi wa King Solomon Hall , karibu na Best Bite (Ada Estate- Kinondoni) Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza,” ameandika Jide kwenye Instagram.

Album hiyo itakuwa na nyimbo kama Kamoba alioshirikiana na Hamoba wa Zambia, Together Remix akiwa na Spicy, Rosella akiwa na H_Art the Band, Unanichanganya akiwa na Naava wa Uganda na zingine.

Post Bottom Ad