EPL 2016/2017:Eden Hazard na Diego Costa na Furaha ya Ushindi kwa Chelsea. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 07, 2017

EPL 2016/2017:Eden Hazard na Diego Costa na Furaha ya Ushindi kwa Chelsea.


Wachezaji wa  Chelsea wakifurahia ushindi wao wa bao 2-1 dhidi ya West Ham Katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Jana Jumatatu ya March 06,2017 uliyochezwa katika uwanja wa London Stadium.
Magoli ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard dakika ya 25 na Diego Costa dakika ya 50 na lile la West Ham likifungwa na Lanzini  dakika ya 90+2 .


Matokeo hayo yanaifanya West Ham kushuka hadi nafasi ya 11 wakiwa na point 33, huku Chelsea wakijiimarisha Kileleni mwa msimamo wa Ligi kwa point 66 kwa michezo 27.

Post Bottom Ad