UEFA 2016/2017: goli za Casemiro,Karim Benzema na Toni Kroos zaicha Napoli 3-1. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 16, 2017

UEFA 2016/2017: goli za Casemiro,Karim Benzema na Toni Kroos zaicha Napoli 3-1.

Mabingwa wa tetezi wa Klabu Bingwa Ulaya,Real Madrid  waliojikuta wamefungwa bao 1 katika dakika ya 8 tu wakicheza na Napoli na kuitandika Napoli 3-1 katika Mechi ya Kwanza ya raundi ya mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE uwanjani  Santiago Bernabeu.

Napoli walitangulia kufunga kwa kombora la Lorenzo Insigne.
Hata hivyo vijana wa Zinedine Zidane walizinduka na kupata ushindi wa mabao 3-1 baada ya kipyenga cha mwisho. 

Mabao ya Karim Benzema dakika 19,Toni Kroos  dakika 49 na Carlos Casemiro  dakika 54.

Timu hizi zitacheza Marudiano yao hapo Machi 7,2017  huko Italy na Mshindi kutinga Robo Fainali.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad