PICHA:Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na kukamatwa Magunia ya Mkaa ili kulinda Mazingira na Rasilimali misitu. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, February 11, 2017

PICHA:Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na kukamatwa Magunia ya Mkaa ili kulinda Mazingira na Rasilimali misitu.

Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera imeanza Msako kukamatwa Magunia ya mkaa ikilenga mkakati wa kulinda Mazingira na rasilimali misitu wilayani humo.

Pichani juu na chini ni  Magari ya Halmashauri ya Wilaya hiyo Lori STK 5971 na gari Dogo Toyota Hilux SM 9007 yakitokea Benako kata ya Kasulo, kama Kamera ilivyokutana nayo mteremko wa K9 leo,February 11,2017,majira ya  mchana yakiwa yamepakia mkaa huo na kwenda kuuhifadhi katika Eneo la Ofisi za Mamlaka ya Mji zamani Ofisi za UN.


Post Bottom Ad