Picha:Basi lafeli mfumo wa break na kusababisha vifo vya watu wanne Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, February 25, 2017

Picha:Basi lafeli mfumo wa break na kusababisha vifo vya watu wanne Bukoba.

Ajali hii  imetokea jana February 24,2017 mjini Bukoba eneo la Rwamishenye muda wa SAA 10 jion ambapo Basi la Wanafunzi wa shule ya Rweikiza (  lilipata ajali kwa kufeli break na kuparamia baadhi ya Waendesha Pikipiki,Washona viatu na Wafanya Biashara.

Vifo vya watu wa4 wamepoteza maisha papo apo na wengine kujeruhiwa huku Wanafunzi waliokuwa ndani ya gari hilo namba T 377 BZW aina ya EICHER mali ya RWEIKIZA ENGLISH MEDIUM wakisalimika.
Post Bottom Ad