Kamanda Sirro:Yusuf Manji na Gwajima bado wapo Lupango. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 10, 2017

Kamanda Sirro:Yusuf Manji na Gwajima bado wapo Lupango.

Kamanda Sirro amesema  bado wanamshikilia mwenyekiti wa Yanga SC, Yusuph Manji pamoja Askofu wa kanisa la Ufunuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya kulevya.

Watuhumiwa hao wawili waliripoti kituoni hapo jana mchana na siyo leo kama walivyoagizwa na RC Paul Makonda.


Kamanda Sirro amesema atatoa taarifa Jumatatu kueleza nini kinaendelea kuhusu watuhumiwa hao.

Mpaka wakati anazungumza na waandishi wa habari kamanda huyo alisema walioripoti kituoni hapo ni watuhumiwa 4 kati ya 65 .

Walioshuhudiwa na waandishi wa habari wakiripoti kituoni hapo ni Iddi Azzan, Hussain Pamba Kali pamoja na bosi Sea Cliff.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad