EPL-2016/2017:Manchester United 2-0 Watford Bao za Juan Mata na Anthony Martial - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 11, 2017

EPL-2016/2017:Manchester United 2-0 Watford Bao za Juan Mata na Anthony Martial

Timu ya Manchester United wamefanikiwa kuitandika Watford 2-0 kwenye Mechi ya Ligi Kuu England, na kuendelea kusota nafasi ya 6 wanayoishikilia muda mrefu na wanabakia hapo kama mchezo wa Liverpool  unaoendelea kwa Liverpool kuongoza bao 2-0 dhidi ya Tottenham.

Goli  za Man United hii Leo February 11,2017 zilifungwa na Juan Mata, Dakika ya 32, na Anthony Martial Dakika ya 60 .
Ushindi huu umewaweka Man United wakiwa na Pointi 48 na Pointi hizi 3 za Leo zimewafanya wafikishe Pointi 2,000 kwenye Ligi huko England na kuweka Rekodi mpya.

Pia sasa Man United wako kwenye mbio za Mechi 16 bila kufungwa kwenye EPL.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad