Taswira Picha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Mkoani Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 23, 2016

Taswira Picha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Mkoani Mwanza.

Wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoani MWANZA imeanza hivi wadau mbali mbali wa wiki ya Nenda barabarani pamoja na wadhamini kutoka Lions Club Mwanza wakipaka rangi kwenye kivuko cha waenda kwa miguu katika Barabara ya Makongoro eneo la Nyakahoja.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad