LA LIGA 2016/2017 - Taswira Picha Lionel Messi na Penati Barcelona ikishinda 3-2. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 22, 2016

LA LIGA 2016/2017 - Taswira Picha Lionel Messi na Penati Barcelona ikishinda 3-2.

Pichani ni Lionel Messi akifurahia kufunga Penati ya Dakika za Majeruhi wakati walipotoka nyuma ya bao 2-1 na kuishinda Valencia magoli 3-2 kwenye Mechi ya La Liga msimu huu waliyocheza Ugenini leo oktoba 22,2016.

Messi ndie aliewapa Barcelona, Bao tata la uongozi katika Dakika ya 22 baada ya Shuti lake kukwepwa na Luis Suarez aliekuwa Ofsaidi na kutinga wavuni.
Barcelona talisman Messi releases his frustration with a wild celebration in front of the Valencia supporters
Lakini Kipindi cha pili, Valencia wakafunga Bao 2 katika Dakika za 52 na 56 kupitia Munir el Haddadi, Mchezaji wa Mkopo kutoka Barceloa, na Rodrigo.

Luis Suarez akaisawazishia Barcelona Dakika ya 62 na Messi kufunga Penati ya Dakika ya 94 na kuipa Barcelona ushindi.

Ushindi huu umewaweka Barcelona kwenye uongozi wa La Liga wakiwa Pointi 1 mbele ya Vinara Atletico Madrid na Real Madrid ambao wamefungana kwa Pointi na wote wanacheza Kesho,Jumapili.

Kesho,Jumapili Oktoba 23,2016, Atletico Madrid wako Ugenini kucheza na Sevilla na Real Madrid wako kwao Bernabeu kucheza na Athletic Bilbao.

1300 Celta de Vigo v Deportivo La Coruna

1715 Sevilla FC v Atletico de Madrid

1930 Malaga CF v CD Leganes

1930 Villarreal CF v Las Palmas

2145 Real Madrid CF v Athletic de Bilbao
The Barcelona superstar stands over Neymar after his Brazilian team-mate appeared to be struck by a water bottle
The Barcelona talisman blows a kiss towards Valencia fans after his late winner - sparking chaotic scenes
Barcelona players start to duck and Luis Suarez goes to ground as Messi's late winner prompts an ugly reaction
Neymar (left) and Luis Suarez lie prone on the floor after apparently being struck by objects thrown from the stands

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad