Hii ni orodha kamili ya Washindi wa Tuzo za MTV Mama 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 23, 2016

Hii ni orodha kamili ya Washindi wa Tuzo za MTV Mama 2016.

cvz5ptjxgaakzly
Msanii Wizkid alikuwa Man of the Night

Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya Msanii Bora wa Mwaka.

Wasanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Ali Kiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza.

Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa,” ameandika Diamond kwenye Instagram.

Pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika kuchaguliwa… Kuingia tunwengi kwenye MtvAwards ni Ushindi tosha kwa Tanzania…ila wanna congrats my brothers @sautisol for the Best Group award… my hommie @jahprayzah and @wizkidayo ya’ll deserve the Trophies,” ameongeza.

Ali Kiba amepost picha ya Sauti Sol na kuandika: Congratulations to my brothers @sautisol for The MTV Best Group Winner. You have had a great year and you deserve it.”

Naye Vanessa Mdee amepost picha ya Yemi Alade aliyekuwa akishindana naye kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kike na kuandika: Congratulations to my lady love @yemialade na bado tunaenda #Juu and ALL the winners tonight. Thankyou @mtvbaseafrica for the recognition and your continued efforts to elevate Afrikan Music.Now lets get back to work kids.”

Kwa upande wao, Navy Kenzo wamewapongeza Sauti Sol kwa kuandika: With a Great pleasure we Thank God and all Fans, family, friends and all of our teams,Thank you Everyone for voting and it was a great exposure motivation and challenge towards major Goal…! We also Give thanks to @mtvbaseafrica @mtvbaseafrica For the Nomination and recognition we are very happy with a Great Gratitude. Until next Year. EAST AFRICA #KENYA AND AFRICA AT LARGE LET’S STAND TOGETHER AND SAY CONGRATULATIONS @sautisol @sautisol
@sautisol @sautisol #BESTGROUP #AFRICA.”

Hapa chini  ni orodha kamili ya washindi.

cvzwptgwyaaxlqr
1
cvzpyyfwcaavr-1
cvzsgfwwyaa1sdf
cvzbjdswaaanki6
cvzehd_wyaadw5a
cvzfoxdwyaaep98
cvzh0vhxgaaaaft
cvzirevwyaane6y
cvzkawnwgaafbgm
cvzlvjjwgaej5hp
cvzmqxwwgaa8djt
cvzo2txwiaaxiwb
cvzufrawgaabrkh
cvzwwu0wyaaf9c1
cvzxrurxeael16c
cvzyqtmxgaegra9

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad