Video: A-Z Kutekwa Na Kukombolewa Kwa Madereva Congo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 24, 2016

Video: A-Z Kutekwa Na Kukombolewa Kwa Madereva Congo.

Kikosi cha madereva waliotekwa nchini Congo.

Siku ya terehe 14 Septemba 2016 tukio la kutekwa kwa madereva wa Tanzania na waasi wa Maimai nchini Congo liligonga vichwa vingi vya habari duniani.

Madereva kumi walitekwa na kati yao wawili walifanikiwa kutoroka na kubaki nane. 

Madereva hao ni Kumbuka Selemani, Hussein Mohammed, Bakari Nassoro, Issa Omary, Amdani Zarafi, Adam James, Mbwana Said, Ali Juma, Athuman Fadhil na Amis Mshana.

Swali kubwa lilikuwa je? Baada ya madereva hao kutekwa na magari yao kuchomwa moto na waasi hao nini hatma yao? Macho na masikio ya watu wengi yalikuwa yakisubiri kusikia nini serikali ya Tanzania au Congo watasema kuhusiana na tukio hilo lililoleta sintofahamu kubwa kwa wananchi.

JINSI WALIVYOTEKWA BOFYA PLAY KUTAZAMA VIDEO WAKISUMULIA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad