Taswira Picha Manchester United na ushindi wa Chris Smalling, Juan Mata, Marcus Rashford na Paul Pogba dhidi ya Leicester City. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 24, 2016

Taswira Picha Manchester United na ushindi wa Chris Smalling, Juan Mata, Marcus Rashford na Paul Pogba dhidi ya Leicester City.


Kiungo mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 89, Paul Pogba akifurahia goli na mwenzie Jesse Lingard baada ya kuifungia timu hiyo bao la nne dakika ya 42 katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2016/2017 leo hii Jumamosi Septemba 24,2016 wakati wa mchezo huo kwenye  Uwanja wa Old Trafford.


Mabao mengine ya Man United waliandika Bao la Kwanza Dakika ya 22 kupitia Chris Smalling na kisha ndani ya Dakika 5, katika Dakika za 37, 40 na 42, Juan Mata, Marcus Rashford na Paul Pogba walipiga Bao huku Pogba akifungua akauti yake ya Magoli kwenye EPL.

Kipindi cha Pili, Leicester waliwatoa Masta wao Jamie Vardy na Riyad Mahrez na kuwaingiza Demaray Gray na Andy King na kupata Bao lao pekee kupitia Gray katika Dakika ya 59

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad