Sporting Gijon walizwa 5-0 na FC Barcelona. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 24, 2016

Sporting Gijon walizwa 5-0 na FC Barcelona.


Mshambuliaji Luis Suarez akifunga moja ya  bao kwa Timu yake ya FC Barcelona katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sporting Gijon kwenye mchezo wa La Liga 2016/2017 kwenye Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon.



Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Rafinha, Neymar mawili na Arda Turan .

Matokeo mengine ya leo Jumamosi Septemba 24,2016.

SD Eibar 2  - 0 Real Sociedad

Athletic de Bilbao 3 - 1  Sevilla FC     

2145  Las Palmas v Real Madrid CF

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad