Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt. Leonard
Chamriho akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi pamoja
na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa
na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
|
Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt. Leonard
Chamriho na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL)
ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za
uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba
28,2016.
|
No comments:
Post a Comment