Breaking News:Basi la Super Shem lagongana na Hiace na kusababisha vifo vya Watu 11 eneo la Hungumalwa,Mwanza Asubuhi hii Septemba 21,2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 21, 2016

Breaking News:Basi la Super Shem lagongana na Hiace na kusababisha vifo vya Watu 11 eneo la Hungumalwa,Mwanza Asubuhi hii Septemba 21,2016.


Ajali hii imelihusisha kati ya Basi la Super Shem na Hiace eneo la Hungumalwa,Mwanza leo hii Septemba 21,2016 majira haya ya Asubuhi.

Taarifa za awali zinasema ajali hiyo imesababisha vifo vya Watu 11 papo hapo waliokuwemo kwenye Hiace ambayo imeharibika vibaya na majeruhi.

Endelea kuwa nasi kuzidi kupata taarifa zaidi.










No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad