SIKU YA AIBU KWA TAIFA:- Timu ya Taifa Uwanjani na Wachezaji wakiwa Tumbo wazi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 24, 2016

SIKU YA AIBU KWA TAIFA:- Timu ya Taifa Uwanjani na Wachezaji wakiwa Tumbo wazi.

Hayati Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akikagua timu Uwanja wa Taifa wakati huo miaka ya 1970,sasa ni Uwanja wa Uhuru.

 Alikuwa mpenzi sana wa mchezo huu hadi pale FAT (Chama cha Soka Tanzania)walipomfedhehesha mbele ya mgeni wake Rais Nimeiry wa Sudan kwa kuleta timu ya Taifa Uwanjani wachezaji wakiwa tumbo wazi mwaka 1972. Toka siku hii hakukanyaga tena uwanja wa soka.
Siku ya Aibu kwa Taifa: 

Rais Jaafar Muhammad al-Nimeiry  wa Sudan akisalimiana na  Omary Zimbwe. 

Wengine kutoka kushoto ni Mohamed Chuma, nahodha Mohamed Abdurlahmani,  Kitwana Manara  na Abdallah Kibadeni.TAZAMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA..''.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad