VPL 2015/2016:-Ratiba ya Ligi Kuu Raundi ya 19 Mechi za February 13 na 14,2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 12, 2016

VPL 2015/2016:-Ratiba ya Ligi Kuu Raundi ya 19 Mechi za February 13 na 14,2016.

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti, huku kila timu ikisaka pointi tatu muhimu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi hiyo. 

Jumamosi, Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Stand United watawakaribisha Simba SC, Mgambo Shooting v African Sports (Mkwakwani), Mbeya City v Toto Africans (Sokoine), Ndanda FC v Majimaji (Nangwanda) na JKT Ruvu v Kagera Sugar uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.

Jumapili ligi hiyo itaendelea kwa michezo miwili, Mwadui FC watakua wenyeji wa Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Mwadui Complex, huku Coastal Union wakicheza dhidi ya Azam FC uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Jumamosi Februari 20,2016.

Yanga SC  v Simba   SC   

Mgambo JKT v Tanzania Prisons 

Stand United v JKT Ruvu  

Mbeya City v Azam FC     

Majimaji v Mtibwa Sugar  

Toto Africans v Kagera Sugar     

Jumapili Februari 21,2016.

Ndanda FC v African Sports       

Mwadui FC v Coastal Union

Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad