TASWIRA PICHA:-Picha za ajali ya Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya leo December 19,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 19, 2015

TASWIRA PICHA:-Picha za ajali ya Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya leo December 19,2015.

ajali (1)
Ajalia ilivyotokea.

Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo December 19,2015, asubuhi, ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha, basi la Best linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Mwanza pamoja na lori katika eneo la Inyala mkoani Mbeya.

Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo. Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP Ahmed Msangi amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

ajali (2)
…hali ya sintofahamu......
ajali (3)

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad