UHAMISHO TAMISEMI JULAI 2015:-Bofya hapa kupata orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 11, 2015

UHAMISHO TAMISEMI JULAI 2015:-Bofya hapa kupata orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini .

Maandamano ya Walimu wa mkoa wa Dar es Salaam-Picha na Maktaba yetu.

Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini July 2015. Aidha orodha ya watumishi 115 ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.

Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.





Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad