MAFANIKIO:-Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 04, 2015

MAFANIKIO:-Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika 2015.

Rais wa Kenya, Bw.Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu 2015.

 Muungano huo unasema kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka kote barani walishiriki katika kura hiyo. 

Bw. Kenyatta alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa,juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika maswala yanayowaathiri wakenya. Rais wa Rwanda ,Bw.Paul Kagame alishinda tuzo hiyo mwaka uliopita 2014. 

Source:-BBC.

 Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad