TAHARUKI YA UPEPO:-Ndege ya abiria ikiyumba hivi angani hata mimi nitaogopa…. ikitua salama mnampigia Rubani makofi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, July 06, 2015

TAHARUKI YA UPEPO:-Ndege ya abiria ikiyumba hivi angani hata mimi nitaogopa…. ikitua salama mnampigia Rubani makofi.

Wanasema usafiri wa ndege ndio usafiri salama zaidi duniani huku uwezekano wa ajali ukiwa ni tone katika safari mamilioni zinazofanywa kila siku ila pamoja na hayo, usafiri wa ndege huwa una ugumu wake mfano pale upepo unapokua mkubwa.

Kwenye baadhi ya nchi kuna kipindi flani huwa baadhi ya viwanja vya ndege vinawapa tabu ya kutua Marubani manake upepo unakuwa mkali na wenye nguvu licha ya ndege zenyewe kuwa kubwa…Taarifa kwa Hisani ya Millard ayo.

 
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad