AJALI / PICHA :-Watu watano wamefariki katika ajali ya gari kugongana uso kwa uso Mkoani Geita Leo Julai 01,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 01, 2015

AJALI / PICHA :-Watu watano wamefariki katika ajali ya gari kugongana uso kwa uso Mkoani Geita Leo Julai 01,2015.

Ajari hii imetokea leo Julai 01,2015 mkoani Geita na kusababisha vifo vya watu 5. Gari hizo Zimegongana uso kwa uso wilayani Bukombe. Moja ni Toyota Corola na nyingine ni Toyota Raum........Picha zote kwa hisani ya ROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.


 Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad