URAFIKI WETU:- Samatta aibeba Taifa Stars ikitoka sare na Malawi 1-1 leo March 29, 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, March 29, 2015

URAFIKI WETU:- Samatta aibeba Taifa Stars ikitoka sare na Malawi 1-1 leo March 29, 2015.

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo March 29,2015 imegawana pointi na timu ya Malawi baada ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo ambao umepigwa kunako Uwanja wa  CCM Kirumba Jijini Mwanza.


Bao la Stars limefungwa na Mbwana Samatta akisawazisha bao baada ya kupokea pasi safi ya Ngassa kunako dakika ya 76.

Malawi walipata bao katika dakika ya 4 kupitia kwa Esau Kanyenda kufatia mpira wa Kona baada ya Kipa Mwadini Ally akapangu mpra na kuangukia miguuni mwa mchezaji wa Malawi ambaye hakufanya makosa .


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad