HARAKATI ZA SIASA:-Taswira Picha Katibu mkuu wa CCM Ndg,KINANA na ziara Mkoani Dodoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 06, 2015

HARAKATI ZA SIASA:-Taswira Picha Katibu mkuu wa CCM Ndg,KINANA na ziara Mkoani Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye sambamba na viongozi mbalimbali wa chama mkoani Dodoma jana wamemaliza ziara ya Kikazi katika jimbo la Mpwapwa na Kibakwe mkoani Dodoma,ambapo leo March 06,2015 wanaanza ziara katika jimbo la Kongwa.Kinana anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani humo,akikagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwemo sambamba na kuimarisha uhai chama,kusikiliza matatizo ya Wananchi na kuyatafutia ufumbuzi.

Pichani Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Abdulrahman Kinana ukielekea jimbo la Kimbakwe  Wilayani Mpwapwa mapema leo March 06,2015,asubuhi kuendelea na ziara yake ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua nakuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi ikiwemo na kuzitafutia ufumbuzi.PICHA ZAIDI KUTAZAMA ,BOFYA HAPA..''


UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad