VIDEO : Abiria wa treni wakwama kutokana na mvua kusomba tuta la reli katika eneo la Godegoge - Mkoani Dodoma . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 12, 2013

VIDEO : Abiria wa treni wakwama kutokana na mvua kusomba tuta la reli katika eneo la Godegoge - Mkoani Dodoma .

Zaidi ya abiria 1,500 waliokuwa wakisafiri na treni ya abiria kutoka mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa wamekwama kwa muda usiofahamika katika kituo cha treni cha Dodoma kufuatia tuta la reli katika eneo la Godegoge wilayani Mpwapwa kusombwa na maji ya mvua na kusababisha adha kubwa kwa abiria hao ambao wengi wao wana watoto wadogo na wagonjwa.











 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad